1 Samueli 6:21 BHN

21 Walituma wajumbe kwenda kwa wakazi wa mji wa Kiriath-yearimu, waseme: “Wafilisti wamelirudisha sanduku la Mwenyezi-Mungu, njoni mlichukue.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 6

Mtazamo 1 Samueli 6:21 katika mazingira