1 Samueli 6:5 BHN

5 Lazima mfanye vinyago vya majipu na vinyago vya panya wenu, vitu ambavyo vinaangamiza nchi yenu. Ni lazima mumpe heshima Mungu wa Israeli. Labda ataacha kuwaadhibu, nyinyi wenyewe, miungu yenu na nchi yenu.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 6

Mtazamo 1 Samueli 6:5 katika mazingira