1 Samueli 6:8 BHN

8 Chukueni sanduku la Mwenyezi-Mungu na kuliweka katika gari hilo. Kando ya sanduku wekeni vile vinyago vya dhahabu ambavyo mnampelekea kama sadaka ya kuondoa hatia yenu. Kisha mliache liende litakakokwenda.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 6

Mtazamo 1 Samueli 6:8 katika mazingira