1 Samueli 7:10 BHN

10 Samueli alipokuwa anatoa ile sadaka ya kuteketezwa, Wafilisti walikaribia kuwashambulia Waisraeli. Lakini Mwenyezi-Mungu akatoa sauti kubwa ya ngurumo dhidi ya Wafilisti, na kuwavuruga Wafilisti, nao wakatimuliwa mbele ya Waisraeli.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 7

Mtazamo 1 Samueli 7:10 katika mazingira