1 Samueli 7:9 BHN

9 Kwa hiyo Samueli alichukua mwanakondoo anayenyonya akamtolea Mwenyezi-Mungu kama sadaka ya kuteketezwa nzima. Kisha Samueli akamlilia Mwenyezi-Mungu kwa ajili ya Israeli, naye akajibu kilio chake.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 7

Mtazamo 1 Samueli 7:9 katika mazingira