1 Samueli 7:8 BHN

8 Basi, wakamwambia Samueli, “Usiache kumlilia Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, kwa ajili yetu. Endelea kumlilia atuokoe kutoka kwa Wafilisti.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 7

Mtazamo 1 Samueli 7:8 katika mazingira