7 Wafilisti waliposikia kuwa Waisraeli wamekusanyika huko Mizpa, wakuu watano wa Wafilisti wakaenda kuwashambulia. Waisraeli waliposikia juu ya jambo hilo waliwaogopa Wafilisti.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 7
Mtazamo 1 Samueli 7:7 katika mazingira