1 Samueli 7:6 BHN

6 Hivyo, Waisraeli wote wakakusanyika huko Mizpa. Walichota maji na kuyamimina mbele ya Mwenyezi-Mungu, wakafunga siku ile yote na kusema, “Tumetenda dhambi mbele ya Mwenyezi-Mungu.” (Samueli alikuwa mwamuzi wa Waisraeli huko Mizpa).

Kusoma sura kamili 1 Samueli 7

Mtazamo 1 Samueli 7:6 katika mazingira