1 Samueli 7:13 BHN

13 Siku hiyo Wafilisti walishindwa; na Mwenyezi-Mungu aliwazuia Wafilisti kuivamia nchi ya Israeli wakati wote Samueli alipokuwa hai.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 7

Mtazamo 1 Samueli 7:13 katika mazingira