1 Samueli 7:14 BHN

14 Miji yote ya Waisraeli ambayo Wafilisti waliiteka kati ya Ekroni na Gathi ilirudishiwa Waisraeli, nao walikomboa nchi yao kutoka kwa Wafilisti. Tena kulikuwa na amani kati ya Waisraeli na Waamori.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 7

Mtazamo 1 Samueli 7:14 katika mazingira