7 Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Sikiliza kila kitu ambacho watu wanakuambia; maana hawajakukataa wewe, bali wamenikataa mimi kuwa mfalme juu yao.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 8
Mtazamo 1 Samueli 8:7 katika mazingira