1 Samueli 9:5 BHN

5 Walipofika kwenye nchi ya Sufu, Shauli alimwambia mtumishi wake, “Turudi nyumbani, la sivyo baba yangu ataacha kufikiria juu ya punda, na badala yake atakuwa na wasiwasi juu yetu.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 9

Mtazamo 1 Samueli 9:5 katika mazingira