1 Samueli 9:8 BHN

8 Yule mtumishi akamjibu Shauli, “Ona, mimi nina fedha robo shekeli. Nitampa huyo mtu wa Mungu ili atuambie juu ya safari yetu.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 9

Mtazamo 1 Samueli 9:8 katika mazingira