9 Hapo mfalme akamtuma kapteni mmoja na watu wake hamsini wamlete Elia. Kapteni huyo akamkuta Elia ameketi mlimani, akamwambia, “Ewe mtu wa Mungu, mfalme anakuamuru ushuke.”
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 1
Mtazamo 2 Wafalme 1:9 katika mazingira