2 Wafalme 10:13 BHN

13 alikutana na jamaa za marehemu Ahazia mfalme wa Yuda akawauliza, “Nyinyi ni kina nani?” Wakamjibu, “Sisi ni jamaa za Ahazia. Tumeteremka huku kuwatembelea wana wa mfalme na wana wa malkia.”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 10

Mtazamo 2 Wafalme 10:13 katika mazingira