2 Wafalme 10:16 BHN

16 Akamwambia, “Fuatana nami ili ujionee jinsi nilivyo mwaminifu kwa Mwenyezi-Mungu.” Basi, wakasafiri pamoja garini mwake.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 10

Mtazamo 2 Wafalme 10:16 katika mazingira