2 Wafalme 10:19 BHN

19 Waite manabii wote wa Baali, wafuasi wake wote na makuhani. Ni sharti kila mmoja afike, kwani nataka kumtolea Baali tambiko kubwa, na yeyote atakayekosa kufika atauawa.” Hiyo ilikuwa ni njama ya Yehu ili apate kuwaua wafuasi wa Baali.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 10

Mtazamo 2 Wafalme 10:19 katika mazingira