2 Wafalme 10:22 BHN

22 Ndipo Yehu akamwagiza aliyesimamia mavazi matakatifu akisema, “Toa mavazi hayo na kuwapa watu waliohudhuria ibada.” Msimamizi akatoa mavazi hayo, akawapa.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 10

Mtazamo 2 Wafalme 10:22 katika mazingira