2 Wafalme 10:25 BHN

25 Mara Yehu alipomaliza kutoa tambiko ya kuteketezwa, aliwaambia walinzi na maofisa, “Ingieni mkawaue wote. Msimwache hata mmoja atoroke!” Wakaingia na panga zao tayari na kuwaua wote, kisha wakatoa maiti zao nje. Ndipo wakaingia chumba cha ndani cha hekalu,

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 10

Mtazamo 2 Wafalme 10:25 katika mazingira