2 Wafalme 10:27 BHN

27 Wakaharibu nguzo pamoja na hekalu; wakaligeuza hekalu kuwa choo; na hivyo ndivyo ilivyo mpaka hivi leo.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 10

Mtazamo 2 Wafalme 10:27 katika mazingira