2 Wafalme 10:32 BHN

32 Wakati huo Mwenyezi-Mungu alianza kupunguza eneo la nchi ya Israeli. Mfalme Hazaeli wa Aramu akashinda nchi yote ya Israeli,

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 10

Mtazamo 2 Wafalme 10:32 katika mazingira