19 Aliwachukua makapteni, Wakari na wakazi wote; nao wakamsindikiza mfalme kutoka nyumba ya Mwenyezi-Mungu wakapitia katika lango la walinzi mpaka ikulu. Naye akakikalia kiti cha enzi.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 11
Mtazamo 2 Wafalme 11:19 katika mazingira