2 Wafalme 12:1 BHN

1 Katika mwaka wa saba wa enzi ya mfalme Yehu wa Israeli Yoashi alianza kutawala Yuda huko Yerusalemu, naye akatawala kwa muda wa miaka arubaini huko Yerusalemu. Mama yake alikuwa Sibia, kutoka Beer-sheba.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 12

Mtazamo 2 Wafalme 12:1 katika mazingira