7 Kwa hiyo mfalme Yoashi alimwita kuhani Yehoyada na makuhani wengine na kuwauliza, “Mbona hamrekebishi nyumba? Basi, msichukue fedha kutoka kwa watu mnaowatumikia, bali mtazileta, ili nyumba irekebishwe.”
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 12
Mtazamo 2 Wafalme 12:7 katika mazingira