2 Wafalme 13:14 BHN

14 Nabii Elisha aliugua ugonjwa mbaya sana. Alipokuwa karibu kufa, mfalme Yehoashi wa Israeli alimtembelea. Alipomfikia Elisha, alilia, akisema, “Baba yangu, baba yangu! Magari ya Israeli na wapandafarasi wake!”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 13

Mtazamo 2 Wafalme 13:14 katika mazingira