2 Wafalme 13:18 BHN

18 Ndipo Elisha akamwambia mfalme achukue mishale mingine na kuipiga chini. Mfalme akapiga mishale chini mara tatu, kisha akaacha.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 13

Mtazamo 2 Wafalme 13:18 katika mazingira