2 Wafalme 13:7 BHN

7 Yehoahazi hakuwa na majeshi, ila tu wapandafarasi hamsini, magari kumi na askari wa miguu 10,000. Hii ilikuwa ni kwa sababu mfalme wa Aramu alikuwa ameyaangamiza majeshi ya Israeli na kuyakanyaga chini kama mavumbi.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 13

Mtazamo 2 Wafalme 13:7 katika mazingira