2 Wafalme 14:23 BHN

23 Katika mwaka wa kumi na tano wa enzi ya Amazia mwana wa Yoashi mfalme wa Yuda, Yeroboamu mwana wa Yehoashi mfalme wa Israeli alianza kutawala huko Samaria, akatawala kwa muda wa miaka arubaini na mmoja.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 14

Mtazamo 2 Wafalme 14:23 katika mazingira