2 Wafalme 14:25 BHN

25 Aliikomboa nchi yote iliyokuwa mali ya Israeli, kutoka Pito la Hamathi mpaka Bahari ya Araba. Hivi ndivyo alivyoahidi Mwenyezi-Mungu kwa njia ya mtumishi wake Yona mwana wa Amitai, nabii, kutoka Gath-heferi.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 14

Mtazamo 2 Wafalme 14:25 katika mazingira