2 Wafalme 14:28 BHN

28 Matendo mengine yote ya Yeroboamu, vita alivyopigana kwa ushujaa, na jinsi alivyoikomboa Damasko na Hamathi na kuifanya mali ya Israeli, yote yameandikwa katika Kitabu cha Mambo ya Nyakati za Wafalme wa Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 14

Mtazamo 2 Wafalme 14:28 katika mazingira