3 Alitenda yaliyo mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, lakini hakuwa kama babu yake Daudi. Bali alifanya mambo yote kama Yoashi baba yake;
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 14
Mtazamo 2 Wafalme 14:3 katika mazingira