2 Wafalme 15:17 BHN

17 Katika mwaka wa thelathini na tisa wa enzi ya mfalme Azaria wa Yuda, Menahemu mwana wa Gadi alianza kutawala Israeli, akatawala huko Samaria kwa muda wa miaka kumi.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 15

Mtazamo 2 Wafalme 15:17 katika mazingira