2 Wafalme 15:24 BHN

24 Alimwasi Mwenyezi-Mungu na kufuata mfano mbaya wa mfalme Yeroboamu mwana wa Nebati, ambaye aliwafanya watu wa Israeli watende dhambi.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 15

Mtazamo 2 Wafalme 15:24 katika mazingira