2 Wafalme 16:1 BHN

1 Katika mwaka wa kumi na saba wa enzi ya Peka mwana wa Remalia mfalme wa Israeli, Ahazi mwana wa Yothamu mfalme wa Yuda alianza kutawala.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 16

Mtazamo 2 Wafalme 16:1 katika mazingira