2 Wafalme 16:3 BHN

3 bali alifuata mienendo ya wafalme wa Israeli. Isitoshe, hata alimpitisha mwanawe motoni kuwa tambiko, akifuata desturi mbaya za mataifa ambayo yalifukuzwa na Mwenyezi-Mungu Waisraeli walipokuwa wanaingia nchini.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 16

Mtazamo 2 Wafalme 16:3 katika mazingira