2 Wafalme 17:20 BHN

20 Mwenyezi-Mungu aliwakataa Waisraeli wote; akawaadhibu na kuwaacha mikononi mwa adui wakali, na kisha akawafukuza mbele yake.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 17

Mtazamo 2 Wafalme 17:20 katika mazingira