2 Wafalme 17:28 BHN

28 Kwa hiyo mmoja wa makuhani waliotekwa nyara toka Samaria alikwenda na kukaa Betheli, na huko aliwafundisha watu jinsi ya kumwabudu Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 17

Mtazamo 2 Wafalme 17:28 katika mazingira