2 Wafalme 17:36 BHN

36 Mtaniabudu mimi Mwenyezi-Mungu, ambaye niliwatoa huko Misri kwa uwezo na nguvu nyingi. Mtanisujudia mimi na kunitolea sadaka.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 17

Mtazamo 2 Wafalme 17:36 katika mazingira