10 Mwishoni mwa mwaka wa tatu Waashuru waliuteka Samaria. Ilikuwa katika mwaka wa sita wa enzi ya Hezekia na pia mwaka wa tisa wa enzi ya Hoshea mfalme wa Israeli, Samaria ulipotekwa.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 18
Mtazamo 2 Wafalme 18:10 katika mazingira