2 Wafalme 18:25 BHN

25 Zaidi ya hayo, je, mnafikiri nimekuja bila amri ya Mwenyezi-Mungu ili kuishambulia na kuiangamiza nchi hii? Mwenyezi-Mungu ndiye aliyeniambia, “Ishambulie nchi hii na kuiangamiza!”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 18

Mtazamo 2 Wafalme 18:25 katika mazingira