2 Wafalme 18:31 BHN

31 Msimsikilize Hezekia, maana mfalme wa Ashuru anasema, ‘Muwe na amani nami, na jisalimisheni kwangu. Hapo kila mmoja wenu ataweza kula matunda ya mzabibu wake mwenyewe, matunda ya mtini wake mwenyewe, na kunywa maji ya kisima chake mwenyewe,

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 18

Mtazamo 2 Wafalme 18:31 katika mazingira