2 Wafalme 19:10 BHN

10 “Mwambieni Hezekia mfalme wa Yuda, ‘Usikubali Mungu wako unayemtegemea akudanganye kwa kukuahidi kwamba mji wa Yerusalemu hautatekwa na mfalme wa Ashuru.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 19

Mtazamo 2 Wafalme 19:10 katika mazingira