2 Wafalme 19:12 BHN

12 Je, miungu ya mataifa iliokoa Gozani, Harani, na Resefu na Waedeni waliokaa Telasari, mataifa ambayo babu zangu waliyaangamiza?

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 19

Mtazamo 2 Wafalme 19:12 katika mazingira