26 Wakazi wake wakiwa wameishiwa nguvu,wametishika na kufadhaika,wamekuwa kama mimea ya shambani,kama majani yasiyo na nguvu.Kama majani yaotayo juu ya paa;yakaukavyo kabla ya kukua.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 19
Mtazamo 2 Wafalme 19:26 katika mazingira