2 Wafalme 19:35 BHN

35 Basi, usiku huo malaika wa Mwenyezi-Mungu aliingia kambini mwa Waashuru na kuwaua watu laki moja. Kulipopambazuka watu wakaamka, hao wote walionekana wakiwa maiti.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 19

Mtazamo 2 Wafalme 19:35 katika mazingira