2 Wafalme 2:1 BHN

1 Ikawa wakati ulipofika ambapo Mwenyezi-Mungu alitaka kumchukua Elia mbinguni katika upepo wa kisulisuli, Elia na Elisha walikuwa njiani, wakitoka Gilgali.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 2

Mtazamo 2 Wafalme 2:1 katika mazingira