15 Wale wanafunzi wa manabii kutoka Yeriko walipomwona, walisema, “Roho ya Elia iko kwa Elisha.” Basi, wakaenda kumlaki, wakasujudu mbele yake.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 2
Mtazamo 2 Wafalme 2:15 katika mazingira