2 Wafalme 2:3 BHN

3 Wanafunzi wa manabii waliokuwa huko wakamwendea Elisha, wakamwuliza, “Je, unajua kwamba leo Mwenyezi-Mungu atamchukua bwana wako?” Elisha akajibu, “Naam! Najua; nyamazeni.”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 2

Mtazamo 2 Wafalme 2:3 katika mazingira