12 Wakati huo, mfalme Merodak-baladani mwana wa Baladani mfalme wa Babuloni alisikia kuwa Hezekia alikuwa ameugua na sasa amepona, akamtumia ujumbe pamoja na zawadi.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 20
Mtazamo 2 Wafalme 20:12 katika mazingira