2 Wafalme 21:11 BHN

11 “Kwa sababu mfalme amefanya mambo ya kuchukiza, mambo mabaya zaidi ya yale yaliyotendwa na Waamori waliomtangulia, amewafanya watu wa Yuda pia watende dhambi kwa kutumia sanamu zake;

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 21

Mtazamo 2 Wafalme 21:11 katika mazingira